Kabubua Market leo mmeonyesha nguvu ya wananchi bila kusukumwa. 🔥 Mbeere North mko tayari kwa Operation Funga Viosks, mko clear na #WANTAM , na mko committed ku Komboa Kenya.
Na kwa tarehe 27 November 2025, by 8AM, mtaonyesha dunia vile mnaamua mambo kwa kumchagua Newton Karish overwhelmingly kama MP wenu.